Game nzuri kwenye simu za Androids!

Habari wataalam.


Naomba tushirikishane game nzuri hasa za magari na nyinginezo ambazo zipo full na zisiwe trial, pia ambazo mtu anaweza kuzicheza offline.


Natanguliza shukrani.
Kuna asphalt airborne, need for speed, fast and furious
Ingia hapa mob.org kina kila aina ya game kuanzia series ya games za gta hadi gangstar vegas na fifa 17
 
asphart nitro.
asphart 8 airborn
need for speed.
gta san adress.


me huwa natumia web hii oceanofapk.com
nakuta wameshazihack coin na gold, so nakuwa na gold za kutosha.
 
Habari wataalam.


Naomba tushirikishane game nzuri hasa za magari na nyinginezo ambazo zipo full na zisiwe trial, pia ambazo mtu anaweza kuzicheza offline.


Natanguliza shukrani.

1.Badland 2
2.Asphalt 8
3.Leo's Fortune
4.Monument Valley
5.Real Steel WRB
6. Air Combat
7. Air Fighter
8. Rougue Assault
9.Polyforge
10.Modern Combat 5: Blackout **

Ila mkuu Modern Combat 5 : Blackout ni game kali sana ijapokua utahitaji amount ndogo sana ya data kucheza. Ijaribu mkuu ni bure although lina In-app purchases
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom