Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu,ninatumia simu ya nokia 5130,mwanzo ilikua haina shda,bt toka juzi kila nkitaka kuingia jf,inaniambia error,the web u are looking is timed out,so naomba kufahamishwa,ni simu ndo ina matatzo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu nauza laptop hp pro book 4510 Tsh laki tano tu, imetumika kwa miez michache sana specs Specialized Design HP 3D DriveGuard Processors available Intel® Core™ 2 Duo Processor...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
I have two locked Pantech mobile phones from US at&t company, I am looking for anyone who can assist in generating the unlock codes. I am ready to pay for the service. The details are: Pantech...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mtakumbuka mwaka 2009 jamaa wa GTV walipokumbwa na mtikisiko wa uchumi wa dunia na wakasepa kiaina. Hata hivyo watu tuliendelea kupata Free To Air channels katika receiver yao, nakumbuka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa jinsi ya kutumia uc browser, kwani nimeinstall lakin haionyeshi maandish inaweka vibox box nadhani itakuwa ni problem ya lugha je kuna uwezekano wa kubadili lugha au ntafanyaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wadau. Nina server dell poweredge 1600sc, ina hhd tatu na zote ziko patitioned, issue yangu kuwa hapa ni jins i gani naweza kuongeza size ya patition ambayo ndiyo ina OS maana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Great thinkers from jamii forum, ni mara ya kwanza kupost tatizio langu hapa jamvini, naomba msaada wenu. Nimenunua iphone4 lakini blue tooth imenishinda kutumia. Haipokei wala kutuma chochote...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Kwa muda wa wiki tatu sasa nipo mkoani Mbeya. Wilaya niliyofikia mwazo hakuna huduma ya 3G kwa mitandao ya airtel, tigo na voda. Pale watu wanatumia EDGE/GPRS ambayo ina speed ya kobe. Leo nipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nina laptop aina ya Dell 610,upande wa betri unaleta shida sana,nikiitoa betri na kuirudisha nikiwasha laptop inakubali,nikichomeka kwenye umeme baada ya muda na kuchomoa cable ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu nauza laptop hp pro book 4510 Tsh laki tano tu, imetumika kwa miez michache sana specs Specialized Design HP 3D DriveGuard Processors available Intel® Core™ 2 Duo Processor T6570...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Intanet airtel bure inakuaje usiku coz naiungaga bt haikubal
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kuna tabia ya marais kutumia simu toka nje ya nchi pasipo kujua mifumo yake ya mawasiliano na usalama wa habari na mazungumzo yake yako kwenye kiwango gani. kuna taarifa ya kuwa blackberry...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Naomba soft copy ya hiki kitabu( Introduction to SAP Business One) Introduction to SAP Business One. - Das Buch von SAP PRESS Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
911 Views
wakuu nauza laptop hp 4510 Tsh laki tano tu specs zake ni hizo hapo chini, Imetumika kwa miez michache sana Specialized Design HP 3D DriveGuard Processors available Intel® Core™ 2 Duo...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Nimekuwa najaribu kuinstall adobe cs 3 creative master collection lakini installation inakuwa haimalizi na hakuna error message, nimejaribu fanya system restore kwa computer ninayotumia haikubali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf? Nina laptop aina ya compaq presario cq 60, nimeshindwa kupata drivers za coprocessor. Any1 anaejua what this coprocesor thing is, na hw 2 get t!
0 Reactions
3 Replies
983 Views
guys modem hii nailipia sh. 30000 kwa mwezi so naona ni nyingi kidogo ukilinganisha na matumizi yangu wakati zain ukilipa tsh. 2500/= unapata 400MB. na vodacom ukilipia 3000/= unapata 50MB so...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba mnisaidie hatua za kuweza kufanikisha kuformat computer
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJFwenzangu mambo vp? Naombeni msaada wenu kwa wenye uzoefu wa hii OPERAMINI yenye O kubwa kwa mimi ninayebrowse kwa kutumia simu ya Nokia E61i. Ninapoingia humu JF kupitia mfumo wa Desktop...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben msaada chaja yangu ya laptop iliharibika sasa katika mchakato wa kutafuta ela kununua ingine nilikaa kama wiki mbili ivi then nkanunua tatizo ni kuwa betri uktoa kwenye umeme laptop...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom