Hatua ya kwanza:
1.Fanya setting za bios kwamba cmp yako ikiwaka iboot from CD,hii unaweza bonyeza F8,F12 inategemea na brand
2.Ingiza Bootable CD halafu irestart PC yako
3.Ikishajirestart itakwambia Press any key to boot from cd,so fanya hivyo
4.Itaload files zote then after that utaenda kwenye process ya kuinstall OS,hapo ndo itakuja FOrmat the drive ambayo unataka kuweka OS,hapa kuwa makin kama una partion unaweza ukformat drive nyingine so kwa kukusaidia note size ya hiyo drive unataka kuweka OS na kuiformat
Hence ur done,wait until process ya kuinstall os ikamilike then ushaiformat..
Kama kuformat drive alone,right click then select format OK au kwa kutumia CDM type Format X: then Enter note x stands for drive letter