Dell inanisumbua

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
wakuu nina laptop aina ya Dell 610,upande wa betri unaleta shida sana,nikiitoa betri na kuirudisha nikiwasha laptop inakubali,nikichomeka kwenye umeme baada ya muda na kuchomoa cable ya umeme,laptop inazima kama hakuna betri vile,halafu kila siku charge ya betri inapungua,inaonekana hawi charged,nifanyeje wakuu
 
hilo ni tatizo la bios update bios driver hapa bios driver chagua windows unayotumia download bios driver and intall halafu tazama imesaidia ?
 
wakuu nina laptop aina ya Dell 610,upande wa betri unaleta shida sana,nikiitoa betri na kuirudisha nikiwasha laptop inakubali,nikichomeka kwenye umeme baada ya muda na kuchomoa cable ya umeme,laptop inazima kama hakuna betri vile,halafu kila siku charge ya betri inapungua,inaonekana hawi charged,nifanyeje wakuu

kutokana na maelezo yako hapo juu probably battery yako imekufa na solution ya hilo tatizo ni kununua battery mpya
 
battery life span ni 2yrs, kama umeitumia kwa miaka 2 then usihangaike kwa mafundi, nunua battery mpya
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuhusu battery life na kuongezea naomba kusema kuwa Latitude D610 ni model ya zamani kidogo kwa hiyo sitashangaa kama battery life yake haitakuwa imekwisha. Nunua mpya tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom