Airtel Internet Mbeya kimeo.

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Kwa muda wa wiki tatu sasa nipo mkoani Mbeya. Wilaya niliyofikia mwazo hakuna huduma ya 3G kwa mitandao ya airtel, tigo na voda. Pale watu wanatumia EDGE/GPRS ambayo ina speed ya kobe. Leo nipo Mbeya mjini, nimejaribu kuconnect kamodem kangu ka airtel kupitia WCDMA imeshindikana. Swali kwa wenyeji, je ni kamodem kangu kimeo au ni airtel hawana huduma ya 3G hata hapa mjini?
 
Mkuu kunatatizo 3G EDGE/GPRS vinapatikana kwa kuvizia inachagua sehem hili tatizo ni mwezi wa2 nimepiga sim zaidi ya4 hawatowi majibu imekuwa ni kelo
 
Kama wameshindwa kazi, si waseme tu ili tutafute plan B. Kila siku tunawapigia debe humu ndani - Hamia Airtel - kumbe makunyanzi tu. Hovyo sana.
 
Back
Top Bottom