Habarini za leo wana jukwaa, External hd yangu iliingia virus visomekavyo Recycler, autorun info. na system volume information kotoka computer ya rafiki yangu nikaenda kuiscan na kerspasky...
Usually when virus hide files and it also remove folder options it is much difficult to get the files quickly if one is in hurry.I'm going to tell the the way in which you can unhide all the...
Niko maeneo ya Kigamboni na Antenna yangu nimeelekeza pande za Kisarawe lkn cha ajabu toka nimeanza kutumia hii decorder picha zina mikwaruzo kibao na mara nyingine zinanasa na hivi karibuni tu...
Wakuu Habari!
Nimenunua kithimu changu cha NOKIA C-200, al maarufu "dabo dabo". Kimenigomea ku-connect internet. Nimewapigia providers wangu Tigo na Vodaphone,wote wanasema hawawezi ku-connect...
Wana Jamii:
Ninatafuta Cable Locks za laptops - hasa hasa Targus:
Ninaishi Dar es Salaam
Naomba msaada kama kuna anayeweza kunielekeza ni wapi naweza kuzipata? Au kama yeye ndiye muuzaji...
Jamani naomba msaada wa kuingia kwenye account yangu nimejaribu kuingia nikaweka password then ikanitaka niweke jina la rafiki yangu wa utotoni lakini jibu lake nilikwisha lisahau toka nilipo sign...
Wana jf nilikuwa naomba mwajf ambaye ataweza kunisaidia version 10 ya ArcGIS iwe Crack ama vyovyote ili mradi iwe version 10 maana kuna kazi nafanya hivyo inanibidi nitumie version 10 ambayo ndio...
Wataalamu naombeni msaada wa ku unlock moderm za voda IMEI 353462041015129 S/N 321502361173 na Moderm nyingine ni IMEI 359592035174054 S/N 321202835738
Ahsante kwa msaada.
jamani kama kuna mtu yeyeote anayeweza kuchakachua modem ya tigo plz naomba anisaidie model na ni e 153u-1hata idea jamani coz software nyingi za hacking zinashindwathanx in advance
Wakuu ninashida kidogo naomba msaada wenu.
Kuna deck ya dvd imeungua ic ya kwenye power supply na kuinguza kabisa kiasi kwamba hata namba zake hazisomeki/zimefutika.
Sasa nilikuwa naomba msaada...
Kila nikfungua nakutana na huu ujumbe
Imagine a World
Without Free Knowledge
For over a decade, we have spent millions of hours building the largest encyclopedia in human history. Right now...
Here's the complete list of All Windows 7 Shortcuts That You Really Need:GeneralShortcuts
41 Shortcuts of Windows 7 For General
s
WindowsExplorer
15 Shortcuts of Windows 7 For Windows...
Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.