Betri ya ibm laptop

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Naomben msaada chaja yangu ya laptop iliharibika sasa katika mchakato wa kutafuta ela kununua ingine nilikaa kama wiki mbili ivi then nkanunua tatizo ni kuwa betri uktoa kwenye umeme laptop inazima ivi hakuna njia ya kushua betri wataalamu naomben mnielekeze
 
betri ikifa ndio basi,huwezi kufanya chochote,kwa aina hiyo ya laptop huwa ni shida kupata battery.unaweza pata jaribu kutafuta.
 
Cku hizi hakuna shida kutafuta betry kama unalaptop ambayo bat yake haipatikani kuna njia ya kufanya kama upo jirani na fund nwenye ujuzi wa kubadilisha lithium ndan ya betry huwa zinabadilishwa nsha fanya hilo kwenye laptop yangu aina ya NEO nkafanikiwa ila lazima awe mtaalam ili asipishanishe lock tafuta mafundi wazuri watakusaidiia.
 
Kama uko Dar nenda Haidery Plaza kuna duka la computer pale wanauza external re chargeable battery.
Zina fit kila aina ya laptop na hukaa na charge saa tano nzima halafu ni ndogo kuliko ac adopter za pc
 
Back
Top Bottom