Msaada kwa anayeijua uc browser | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa anayeijua uc browser

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kasigi, Jan 16, 2012.

 1. K

  Kasigi Senior Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba kusaidiwa jinsi ya kutumia uc browser, kwani nimeinstall lakin haionyeshi maandish inaweka vibox box nadhani itakuwa ni problem ya lugha je kuna uwezekano wa kubadili lugha au ntafanyaje niweze kuona maandishi
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  uc browser ni mobile browser ya kichina, so utakua umeinstall version ya kichina, delete then install upya ya kingereza http://m.ucweb.com kama tatizo linaendelea ntakupostia jinsi ya kuchange lugha through screenshot
   
 3. K

  Kasigi Senior Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana nimefanikiwa kupata uc version ya kienglish kupitia hiyo link uliyotoa shukran sana
   
Loading...