Website ya UDSM imekuwa offline kwa muda. Ukicheki inakuambia "Account Suspended" japokuwa leo wameongeza hapo kaujumbe kuwa "The website has been temporarily put offline for maintenance purpose"...
Hello friends, today i will share with you a collection of windows tweaks that will help you to achieve maximum system or PC speed. All want that their system will work as fast as possible so why...
nataka ku unlock T-MOBILE 3G za kutokea US,apa tz azifanyi kaz adi unlock ukiweka line unaambiwa uingize network namba zipatazo 8,lakin US zilikuwa zinafanya kazi,msaada wa ndugu
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace...
salaam,
jamani naombeni msaada kwani kuna mtu anatumia jina langu kwnye facebook akijifanya ni mimi.sijajua lengo lake bado.sina utaalamu sana na mambo ya facebook je nifanyaje ili asiendelee...
Msaada tafadhali
Nimedownload FIFA 2011 gb 4.5, Football menager g.b 4.3, nikizifungua zinaenda direct kwenye kuburn kwanza.. nimeburn ila CD still hazikubali kuplay kwa mwenye kufahamu hizi...
Habari wadau wa teknolojia? Naomba mnijuze jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi maana zinanishangaza giza likitokea zinawaka mwanga ukitokea zinazima halafu kila siku na zinatumia umeme au...
Hali zenu wandugu. Tatizo langu ni kuhusu iphone4 yangu, nilijaribu kupgrade OS mpya bila kufanya backup kwenye pc, kwa hyo imfuta vitu vyangu muhimu kama number, sms, picha, email nk. Je...
When I insert a any DVD into my Dvd player I receive a message that states "Windows Media cannot play DVD because a compatible DVD decoder is not installed on your computer"
I have Windows XP...
Please refer to the thread "Malipo mishahara dirishani" as a background to this request for ideas and solutions that can be availed to our esteemed government officials in eradicating the ghost...
Msaada wadau mwenye kujua AVCHD Activation Key ya Magix Movie Edit Pro 17 HD Plus, nashindwa kuingiza Video kutoka kwenye Camcorder yangu inayopiga muundo huo wa AVCHD.
Jamani.. Nimetumiwa zawadi ya simu hiyo hapo juu. Tatizo ni kwamba,access ya internet nimepata siku 3 tu za mwanzo kwa laini ya voda,halafu ikagoma.Hata ile alama ya 3G siipati. Nikaweka ya tiGO...
Wakubwa, binafsi ni mgeni kwenye jukwaa hili baada ya kupata utambulisho wa rafiki yangu ambaye ni mchangiaji mzuri wa jukwaa hili(jina kapuni)
Sasa leo nakuja na hii tovuti Ughaibuni - Tovuti...
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.