iphone4 bluetooth problem

iphone4 bluetooth problem

nsekumpaye

New Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Great thinkers from jamii forum,
ni mara ya kwanza kupost tatizio langu hapa jamvini, naomba msaada wenu.

Nimenunua iphone4 lakini blue tooth imenishinda kutumia. Haipokei wala kutuma chochote, nisaidieni
 
bluetooth ya iphone ni kwa ajili ya bluetooth headset/handsfree tu sio kuhamisha picha wala miziki
 
Kwa kawaida Bluetooth ya Iphone huwa haitumiki kutransfer mafile kati ya simu na simu au device nyingine yenye bluetooth, ila kuna utility applications zitakazokuwezesha kutuma na kupokea mafile kwenye simu nyingine. Applications kama 'ibluenova' for Iphone, sema inabidi iphone yako iwe Jailbroken ili kuweza kupata application kama hiyo,,,,,,😛oa
 
Back
Top Bottom