Nimekuwa najaribu kuinstall adobe cs 3 creative master collection lakini installation inakuwa haimalizi na hakuna error message, nimejaribu fanya system restore kwa computer ninayotumia haikubali nimejaribu compatibility settings haikubali na hii ni software(cs3) ya pili haikubali ila kwenye computer nyingine zinafanya kazi. Sasa nimesoma installation instruction computer yangu imekidhi vigezo vyote kasoro hiki kimoja kuwa software inahitaji window xp and vista (32 bit certified), mimi computer yangu ni window 7 home premium with 64 bit, nahisi hili ndio itakuwa tatizo kwa mwenyekujua jinsi ya kusolve hilo tatizo anisaidie. Au mwenye adobe cs 5 labda inaweza kuwa installed . Ni program hii tu ambayo inasumbua kuinstall.