Nina modem yangu ya vodaphone K3571-Z nataka ku unlock ili nitumie line ya zain nitaf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina modem yangu ya vodaphone K3571-Z nataka ku unlock ili nitumie line ya zain nitaf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ellyrehema, Jan 14, 2012.

 1. ellyrehema

  ellyrehema JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,046
  Likes Received: 695
  Trophy Points: 280
  guys modem hii nailipia sh. 30000 kwa mwezi so naona ni nyingi kidogo ukilinganisha na matumizi yangu wakati zain ukilipa tsh. 2500/= unapata 400MB. na vodacom ukilipia 3000/= unapata 50MB so nahitaji nitumie zain coz ni cheap kidogo ukilinganisha na vodacom.
  mnisaidie jinsi nitakavyofanya ili ni unlock. nimejaribu kudownload baadhi ya software zikagoma kurespond kufuatana na maelezo yao. email yangu ni elipaket2yahoo.com
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mordem hiyo inachakachuliwa na software inaitwa joinair
  chukua hapa Connection_Manager_generic_DE_EN.rar install hiyo ndio utakayo tumia ku conect na internet badala ya ile ya program ya voda
   
 3. ellyrehema

  ellyrehema JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,046
  Likes Received: 695
  Trophy Points: 280
  ninayo kwenye mashine yangu nimeshajaribu kutumia Joinair ila haiconnect, but nikiconnect na line ya vodacom inaconnect vizuri sana tena nyepesi kuliko ya software ya vodacom
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35  kama bado inasumbua chukua hizi setting FATMA BAWAZIR.rar
   
 5. I

  Isaack Binya Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mim kwang haya mavitu baada ya kudowload hayafunguki, kila ni kijaribu inaniambia Safar can not open this because there is no application to open it,so hata sielew nifanyeje!natumia window ya Mac os x.
   
 6. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  mkuu haya mavitu hayafunguki kwa mac os, mac ina mavitus yake na windows ina mavitus yake mavitus ya mac utayapata hapa mavitus ya mac for k3571-Z
   
Loading...