Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

For our budding 3D artists and advertisement professionals, please see what can be achieved using zero cost software.Red Color | BlenderNationCompany writes: Made with Blender 2.6, GIMP and...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
nataka kuunga internet kwa line ya tigo manual,yoyote mwenye uwezo anipe maelezo
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wakuu naomba msaada wenu nataka ku-unlock huawei modem ya zin ili nitumie na line zote.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani naomba mnisaidie web zenye games za ukweli .natumia nokia
0 Reactions
3 Replies
971 Views
nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wataalam wa software, vipi kuhusu kutengeneza JF app? Kuna mtu aliwasilisha mada hii, ilifikia wapi?
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anayo driver softwere ya hii photocopy machine aina ya HP LASERJET 1320 au link ambayo naweza pata driver zake naomba anisaidie nimefomat computer nikataka kurudishia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Computer yangu ni Dell intel p 4,RAM 640,PRO.2.40GHz WIND.XP2 nikipiga nyimbo in high volume computer inastuck kila kitu kinasimama, kasa haitembei mpaka niizime.NAOMBA MSAADA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaaam Wakuu wa Jf technology Mnaonaje tujaribu kufanya reseach binafsi ya kutafuta taarifa na matumizi ya number ya dharula kwenye makampuni ya simu za mkononi na vyombo husika(Serikali)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nawakaribisha kwa Mjadala wenye lengo la kueleimishana Mambo mbalimbali yahusuyo Technolojia ya Mawasiliano. Leo nimeona nirushe Swali ambao wengi huwa wanalijibu kimakosa na walimu wao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Read more here: Raw material | Just words, talking about nothing… (a.k.a. "How to waste Internet bandwidth and time…")
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Ile bar inayokuwa chini ya display inagoma kufunguka. So nikiminimize file nashindwa kulifungua tena.msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Habarini wakuu.. Naombeni tusaidiane hapa kwa wenye uelewa na hivi vitu,. Ni namna gani nitaweza ku unlock sim hii niweze kutumia mitandao mingine tofauti na tiGo. kila ninapoweka line nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Flashing LED The LED on the top of your BlackBerry® smartphone flashes different colors to indicate different statuses. Flashing LED color...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Wakuu 21st Jan. CAN ndani ya nyumba, vipi kuna mwenye idea ni channel gani ya hapa nyumbani itakayoonecha mechi zote.Hapa nililipo ni siku nne sasa sipati Star tv kwenye dish, karibu mwezi sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hey wajeda hamjambo?? Trick mpya hii ya kupata credit za skype zenye thamani ya euro 1 unachotakiwa kuwa nacho ni computer na internet halafu fata process hizi KWANZA: nenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wataalamu, jioni hii nimenagusha simu yangu Blackberry 8520 ikatoka battery, baada ya kuweka battery na kusubiri kwa muda simu haikuwaka badala yake ikaja screen nyeupe na message isemayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimepokea email ambayo I'm pretty sure ni spam(+ilikuwa kwenye spam folder). Email yenyewe hii hapa: Hello My Dearest One Hello this is Joy who contacted you before at...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom