Nisaidieni hii OPERAMINI 6.5 imenishinda!!!!!!!!!!!!

Nisaidieni hii OPERAMINI 6.5 imenishinda!!!!!!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJFwenzangu mambo vp?
Naombeni msaada wenu kwa wenye uzoefu wa hii OPERAMINI yenye O kubwa kwa mimi ninayebrowse kwa kutumia simu ya Nokia E61i.
Ninapoingia humu JF kupitia mfumo wa Desktop ninapohitaji kuanzisha TOPIC mbona sioni sehemu ya kuandika ujumbe au maelezo ninayohitaji kuyapost, ipo sehemu ya kuandika TITLE tu.
tafadhali naomba msaada wenu.
 
jaribu opera 11 au uc browser,mara nyingi opera 6.5 ukilog in ina kulog out,naweza kusema opera wamechemsha sana kwenye hii version 6.5, ina matatizo mengi.
 
tumia v5 maana 6.5 inazingua halafu 11 inakula sana bandwitch
 
mkuu naona hawa opera mini kwenye nokia zinangua hasa kwenye pc mode na unaweza kuweka operamini 11 ikagoma kuingia kwenye simu yako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom