Rais anapotumia blackbery kweli anatambua mfumo wa mawasiliano yake na udhibiti wa siri zake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais anapotumia blackbery kweli anatambua mfumo wa mawasiliano yake na udhibiti wa siri zake?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Godwine, Jan 6, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kuna tabia ya marais kutumia simu toka nje ya nchi pasipo kujua mifumo yake ya mawasiliano na usalama wa habari na mazungumzo yake yako kwenye kiwango gani. kuna taarifa ya kuwa blackberry popote inapotumika basi kuna mawasiliano na mitambo yake iliyoko bara ulaya na marekani, mawasiliano haya yanaweza kupunguza siri na usalama wa mtumiaji kwani wao wanauwezo wa kusoma ujumbe na kurecodi sauti na mawasiliano ya simu wanayoifuatilia.

  Je marais wa nchi za kiafrika wanatambua madhara ya kukurupukia technolojia hizi bila ya kufahamu mifumo yake?
  pia wanafahamu athari zake kiusalama wa nchi?
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu watu wanatafuta kuiangusha Canadian made.. lakini Obama hadi leo anatumia Blackberry zaidi na labda nikufahamishe tu kwamba viongozi wengi sana Marekani na Canada wanatumia Blackberry over Iphone japokuwa Iphone wanazo kwa matumizi yao binafsi...
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lakini tambua ya kuwa Obama anatumia blackberry kwa matumizi binafsi lakini mambo yote ya kiofisi yametenganishwa na matumizi ya blackberry, pia tambua wamarekani wanatechnolojia kubwa ya kuweza kuzuia simu ya rais wao kuweza kutawaliwa na mitambo ya kigeni, kwani wanaweza wakafunga mawasiliano ya simu ya rais na mitambo ya nje ya wao wanaotaka iwasiliane. je nasisi tumefika katika kiwango hicho cha kudhibiti usiri wa mawasiliano ya rais kama marekani?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kuwa simu za Blackberry zinapitisha mawasiliano yote Canada, ni BBM tu ambayo inapita kwenye server za Blackberry, simu na SMS zinafanya kazi kama kawaida.

  Tena Blackberry kama iko set up correctly ni secure sana, ndo maana imekamata soko kubwa kwenye makampuni na kwenye serikali.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siku hizi za masatellite na wireless hakuna cha siri tena.
   
 6. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana hapo. Makachero wanaouwezo wa kuingia kwenye smart phone au computer na kutrack kila kitu unachofanya. Zaidi ya hapo wanauwezo wa ku activate camera na mic pasipo mtumiaji kujua.
   
 7. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  mkuu rais yeyote wa marekani haruhusiwi kutumia mobile phone ya aina yeyote
   
 8. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Obama ameruhusiwa kutumia BlackBerry
   
 9. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nawashangaa JK ana siri gani? Labda za mamiss.....!
   
 10. j

  junior05 Senior Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu unaifahamu application inayoitwa Blackberry protect,je unafahamu inafanya mambo mengi sana zaidi ya hyo BBM,basi hyo protect ni app ndogo sana kwenye RIM infrastructure na little info ni kwamba anything that done on ur BB after living your wireless provider goes all the way RIM before reaching destination and vice versa
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wewe hujui kitu kaa kimya bwana...soma mambo ndo uje kuandika hapa....au hujui bb inavofanya kazi
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama eaiscwetu ana siri gani sasa yw kuificha....hebu tupisheni bana
   
 13. G

  Godwine JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mkuu tambua yeye ndiye kiongozi mkuu wa nchi hivyo lazima kuna visiri vidogo vidogo anavyomiliki japo si vya kutisha....zikiwemo za jeshi na za kijamii pia
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Dunia haina siri. Hata hizo simu zingine unazotumia ama mtandao unaotumia unaweza kurekodiwa tu! Gaddafi alikuwa anataka africa iwe na sattelite yake lakini watu wakashirikiana na wakoloni wakamuua!
   
 15. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Tuache kuogopa vivuli vyetu. Kwan Wamarekani wamesikia tz wanampango wa kuivamia Israel mpaka watuhofie kihivo?
   
 16. G

  Godwine JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​kama mtu binafsi anahitaji kuwa na siri je taifa unadhani hakuna kitu chochote kinachohitaji usiri?
   
 17. C

  Chal Senior Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unajua simu tunazotumia leo zinaonesha ukuaji mkubwa wa teknolojia, mfano simu ninayotumia hapa inauwezo wa kuonesha mpaka nilipo na hata kama kuna foleni barabarani waweza kuona sembuse meseji?teknolojia inapunguza sana usiri.
   
 18. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Rais wenu na majority ya wa2 wake wanatumia apple products

  Bb is not a toy haiwezi
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwanza BB Project ni software unayoinstall kwa hiari mwenyewe, pili haina uwezo wa kurekodi simu wala haipitishi mawasiliano kupitia BB canada, inachofanya (KAMA UNATAKA!) Ni ku-backup data muhimu kwenye simu yako kama contacts na SMS ili simu ikipotea/haribika uweze kurudisha kirahisi, pia inakuwezesha kuilock au kuifuta simu yako ikitopea/ibiwa. Application za aina hii zipo kwenye kila smartphone platform, kwa mfano Apple wana iCloud na Find my Phone.
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Obama ana Blackberry, lakini yake iko modified na anaweza kuwasiliana na watu 10 tu.
   
Loading...