Nashndwa kupata access ya jamii forum. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashndwa kupata access ya jamii forum.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Perry, Jan 17, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wakuu,ninatumia simu ya nokia 5130,mwanzo ilikua haina shda,bt toka juzi kila nkitaka kuingia jf,inaniambia error,the web u are looking is timed out,so naomba kufahamishwa,ni simu ndo ina matatzo au ni web ya jf ndo ina matatzo.thanx
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Fanya kuni PM hiyo simu nikusaidie kufanya setting ukishindwa jaribu kubrowse hivyo hivyo lazima itakubali kama ulivyoweza kuituma hii post
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hata mimi huwa inaniandikia hivyo then nakaa muda kidogo kama dk 10 hv najaribu tena inakubali.mi nahic ni matatizo ya mtandao tu.
   
 4. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  hata mimi imeshanitokea kama mara mbili ila ukirudia tena inakubali
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  tatizo sio jf tatizo ni network zenu hasa network ya edge/gprs kwa tanzania ina speed ndogo sana angalia kama simu yako ina 3g enable it am sure hutapata tena hilo tatizo
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  best answer
   
 7. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mbona mimi cmu yangu ina 3g enable na ninapata tatizo hilo?
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sijaonaga!!
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hata mimi nikitumia opera mini napata tabu sana kuingia. hadi naamua kutumia BOLT. kutakuwa kuna tatizo.hili tatizo limeanza tangu ijumaa iloisha. zamani ilikua fasta lakini sasa hivi unaingia hata mara 7 bila mafanikio. wanakuambia error wakati hiyo hiyo browser unaingia fb, cnn,mjengwa, michuzi, bbc, bila tatizo. kwanini jf tu???. lakini ukifanikiwa kuingia kwenye majukwaa, kupost, kucomment hupati tabu. bila shaka invisible atalifanyia kazi. Mia
   
 10. B

  Brother Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kuandika uongo hiyo BOLT browser haipo toka mwaka jana.
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ama Ban inakunyemelea?
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  ipo kaka sema mimi niliinunua hawana free service i think kwa sasa
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tumia VInega kuboot utaweza kuaccess JF kama mwenye PC :photo:
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hata me nilikua nahic hvo mkuu.
   
Loading...