Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

msaada jamani natumia simu ya tecno m3 inatatzo la kujiwasha data na wi-fi naomben msaada mwenye utalamu na haya mambo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Naomba msaada jinsi ya kurecord incoming call kwenye simu yangu kuna raia ameamua kufungua mazoezi ya matusi najaribu kumuonyesha kuwa mlengwa sio mimi. Lakini bado anayaporomosha tu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu hodii tenah >leo nimekuja na sswali tu hivi app ddeveloper wa-tz wanafaidikaje na oongezeko la smartphone nchini? >je kweli tupo tayari wa tz kuona watu wa tz wanatumia apps zilizo...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kwa muda wa wiki tatu sasa nimekuwa nikapata notifications za kufanya updates ya software za simu yangu tajwa hapo juu.. Pamoja na kuwa katika eneo ambalo internet ipo vizuri,kila nikifanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau salaam, Nimekuwa natafuta app ya android (police radar/detector) lakini kila ninayopata haina nchi zetu. Kuna device nimewahi kuitumia kiitumia kipindi fulani ilikuwa kwenye gari ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona notifications kutoka microsoft wakieleza jinsi ya kuupdate windows phone 8.1 to windows 10 je kufanya hiyo kitu kunaweza kudamage kalumia kangu? Maana official update inatoka mwez wa 11...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani. Nimekua nikitumia Geocoder API ya Google bila matatizo, lakini leo hii imeanza kununa na kugoma kunipa data. Kawaida kwa kutumia PHP function file_get_contents kwenye link...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasiwasi wangu unatokana na process ya kununua umeme wa LUKU. Unaponunua umeme wa LUKU unafungua milango ya akaunti yako ya M-pesa, Airtel Money, Tigo-pesa nk, kwa kuandika namba yako ya siri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalam wa umeme na wenye ufaham juu ya umeme kuna kitu kinaniumiza kichwa kidogo ningeomba mtegeu kitendawi hicho ndani ya kichwa changu. Je haiwezekan nikatumia umeme kwa kuunganisha waya wa...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Life can create history but the life itself is science. Is history a part of science?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika. Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako. Unarudi unapiga screenshot unapost instagram...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau, Naomba mbinu mnazotumia ili picha ienee kwenye profile ya whatsapp!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu ,kuna mtu ame hack account yangu ya instagram. Naombeni msaada wenu jinsi ya kumkamata
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani waungwana nimekuwa nikitumia smartphone za kampuni ya tecno .sasa nataka nihame kwenye aina nyingine ya sumu. Napenda simu screen size iwe 5.5",iwe unachukua laini mbili,iwe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafikiria kununua Step-up transformer, kufunga nymbani kwangu kama ifuatavyo Umeme wa Tanesco ukiingia kwenye meter, baada ya hapo nafuga resister kutoka kwenye meter ili nipate umeme Mdogo...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
wadau naombeni msaada ndugu tofaut za features za windiw7 na XP
0 Reactions
2 Replies
874 Views
samahani wakuu wa hili jukwaa. nashindwa kudownload nyimbo na videos kwenye whatsapp. kila ikianza kudownload inazungusha kile kimduara mpaka mwisho halafu hamna chochote imedownload. tupeane...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wana jamvi, naombeni msaada wa kutoa hii error (retriving information from server) maana nashindwa kundownload application yoyote kwenye google play store, asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
samasung galax ace kukuletea ujumbe kuwa low storage memor na wakati nina 8 gb memor msaad wadau kwa wnajua nini tattzo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani Naombeni Msaada wenu wa Ushauri katika Kununua Subwoofer hii ya Aborder.. Nimeziona Hapa Town Wanaziuza Nyingi tu Katika Maduka... Budget yangu ni 100k. Je Zina. ubora.. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Back
Top Bottom