Sababu zitakazomfanya mwanangu ajifunze programming.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,164
coding.jpg

Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram hujui nini kinachofanyika mpaka post yako inaionekana.
Unaingia twitter unafollow JamiiForums page hujui kinachofanyika mpaka unaweza kuwafollow.
Premiumship member inaexpire unachukuwa simu yako unawarushia warenew kwa M-Pesa nayo hujui inafanyaje kazi.
Unaingia jukwaa ka Tech unataka kulike hii post huoni option unaenda kulalamika Complains & Congrats kule chini wakati hujui nini kinafanyika.

Dunia inaenda upo upo tu, we ni mtu wakupost nakucomment.
We ni mtu wakuangalia tu movies bila kujua what is going on beyond the core of your Lap.

Kujua coding humfanya mtu aweze kufikiri kwa njia nyingine mbalimbali, Tofauti kabisa na mtu asiyejua chochote kuhusu coding, its doesn't makes you smart but it makes you strong.
Kupitia coding mtu anauwezo wakufanya kitu akatambulika na dunia n get pay in return, kuliko yule mwenye selfie addiction poster n comment(er).
Dunia ya sasa inapokwenda binadamu ataanza kufikiria kama computer.
Mtoto akiwa yupo yupo tu haelewi how things goes on anakuwa mzembe hawezi kufikiria, kwamba hapa kwenye hili game mbona kuna hiki na hiki, aliyetengeneza atakuwa kafanya hiki., sasa mtoto akiwa anacheza cheza tu magem nakujisifia kwa wenzie haimfanyi awe stronger.
 
Mkuu tupe muongozo beginner mie ni mtaalamu wa umeme ila nina interest na CS naanzia wapi?
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.
Hahaha mambo ni mengi kwa kweli nafikiri hata uishi miaka buku huwezi kucover competence Tech yote iliopo duniani Sana sana ni kuspecialize na interest ndio itakufanya ufanye jambo
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.

yah kweli mkuu.pia ajifunze cherehani kuitumia maana anavaa nguo halaf hajui inakuajekuaje
 
Sasa wote tukijua programming hao watu wa programs watakula wapi, acheni ujuaji jamani kila kitu kina faida yake duniani, itabidi ujue kuchonga kitanda, kuunganisha umeme, kushona nguo, itabidi uende US ukajue gari linatengenezwa vipi kiufupi haitowezekana
 
Hiyo inakuja na hobby pia.

Hobby huwa inatokea kutokana na vile mtu anavyoishi kwanza.
Angalia watoto wa wacheza mpira, sio wote wanaweza mpira lakini wanavyoishi kwenye soccer academy na badae wanavyokuwa.
Mwangalie Enzo Zidane kashndwa kucheza mpira kwa moyo wote kwasabu hachezei mpira dhiki kama alivyokuwa baba yake.
Namaanisha watu wanaacha kufanya vitu flani flani eti kwasabu kuna watu wanafanya.
Unapokuwa na internet addiction hiyo nayo ni hobbie, je unaifanyia nini hobbie yako hiyo.
Learn to code you'll be great.
Don't learn it you'll be good.
 
Sasa wote tukijua programming hao watu wa programs watakula wapi, acheni ujuaji jamani kila kitu kina faida yake duniani, itabidi ujue kuchonga kitanda, kuunganisha umeme, kushona nguo, itabidi uende US ukajue gari linatengenezwa vipi kiufupi haitowezekana

Umepost ulichokiandika hapa hujajua server imefanyaje bado unaishi kwenye giza.
Usipende tu kufanya kitu flani bila kujua kinafanyikaje, ndicho nilichokilenga hasa.
 
Programming ni nzuri ila hii reasoning yako haimake sense at all. Basically itabidi ajue kila kitu kiundani

Pili, kumfanya mtoto afuate kile unachopenda wewe ni worst thing you'll ever do to your child. Kama programming ndio itakua wito wake well and good kama sio sio kesi anaweza fanya jambo lingine la msingi pia
 
Wala sijakataa ila nami nasema inabidi tujifunze vitu vyote kama ni hivyo, maana vyenye umuhimu ni vingi sio programs tu
 
Sikatai kuwa vyenye umuhimu ni vingi.
Lakini mtu akijua coding anakuwa nauwezo wakufikiria kwa namna tofauti kabisa.
Ni kama hesabu, coding inafanya ubongo wako uweze kufikiria tofauti na kawaida ilivyozoeleka, yaani unachokifikilia na jinsi yakukiweka ktk really situation.
Computer inafanya vitu viwili, calculations na inakumbuka majibu ya calculation ilizozifanya.
Jinsi programmer anapofanya algorithm zake huwa hawezi kufikiria kwa kawaida, ndomana wapo waliosoma sana programming lakini they don't know how to think like a programmer.
Thinking out of the box it is all what we consider.

Programming ni nzuri ila hii reasoning yako haimake sense at all. Basically itabidi ajue kila kitu kiundani

Pili, kumfanya mtoto afuate kile unachopenda wewe ni worst thing you'll ever do to your child. Kama programming ndio itakua wito wake well and good kama sio sio kesi anaweza fanya jambo lingine la msingi pia
 
computer liwe somo la umuhimu kwa shule za upili, huko vijana waanze kufundishwa haya mambo kama sehemu ya somo.
 
Akimaliza hayo mkuu pia ajifunze na kujua kulima,maana huwezi ukawa unakula tu chakula halafu hujui kinafanyika nini huko mashambani hadi kufikia hatua ya mwisho ya kupatikana hicho chakula.

KWA namna hii tutabakia nyuma na kubuluzwa sana katika hii dunia
 
coding.jpg

Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram hujui nini kinachofanyika mpaka post yako inaionekana.
Unaingia twitter unafollow JamiiForums page hujui kinachofanyika mpaka unaweza kuwafollow.
Premiumship member inaexpire unachukuwa simu yako unawarushia warenew kwa M-Pesa nayo hujui inafanyaje kazi.
Unaingia jukwaa ka Tech unataka kulike hii post huoni option unaenda kulalamika Complains & Congrats kule chini wakati hujui nini kinafanyika.

Dunia inaenda upo upo tu, we ni mtu wakupost nakucomment.
We ni mtu wakuangalia tu movies bila kujua what is going on beyond the core of your Lap.

Kujua coding humfanya mtu aweze kufikiri kwa njia nyingine mbalimbali, Tofauti kabisa na mtu asiyejua chochote kuhusu coding, its doesn't makes you smart but it makes you strong.
Kupitia coding mtu anauwezo wakufanya kitu akatambulika na dunia n get pay in return, kuliko yule mwenye selfie addiction poster n comment(er).
Dunia ya sasa inapokwenda binadamu ataanza kufikiria kama computer.
Mtoto akiwa yupo yupo tu haelewi how things goes on anakuwa mzembe hawezi kufikiria, kwamba hapa kwenye hili game mbona kuna hiki na hiki, aliyetengeneza atakuwa kafanya hiki., sasa mtoto akiwa anacheza cheza tu magem nakujisifia kwa wenzie haimfanyi awe stronger.

Rubbish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom