History is a science, history uses scientific methods to reach into conclusion
History sio science ijapokuwa muda mwingi wanaachukua nondo katika science na kuandika ..History ni hadithi tu ambazo mara nyingi ni za kusadikika but science inahusisha uchuguzi (Experimental) na clearly Verification
Tujue tatizo,Tulichambue,tuchunguze harafu tu verify likiwa bado haliko verified hio ni nadharia ambayo inaweza kosorewa na mtu yoyote...Ohms law hata ww ukitaka una verifyWewe unazijua hatua za uchunguz wa kisayansi? (Research procedures) kama unazijua zitaje
Hizo hizo methods of studying science ndizo hizo zinazotumika kwa Historians wakati wanatafiti na kuandika maswala mbalimbali ya kihistoria
Tujue tatizo,Tulichambue,tuchunguze harafu tu verify likiwa bado haliko verified hio ni nadharia ambayo inaweza kosorewa na mtu yoyote...Ohms law hata ww ukitaka una verify
Mkuu Kitu kama Fuvu la binadamu wa kwanza kuonekana Olduvai George iko proved kweli? au ni assumption tu haya tuje kwa science Magnet ni mawe yaliyondulika huko magnesia Malaysia miaka hiyo na yani properties kadhaa ambazo hata ww ukitaka kuthibitisha unawezaHizo hatua ndizo zinazotumika pia kwa watu wa History pindi wakitafiti mambo mbalimbali kabla ya kuandika kitabu cha History.
Kama history ina tumia scientific methods to draw conclusion wewe unawezaje kusema kuwa History sio sayansi? Unatumia vigezo gani kupinga kuwa history sio sayansi? Hebu nifahamishe!!
Mkuu Kitu kama Fuvu la binadamu wa kwanza kuonekana Olduvai George iko proved kweli? au ni assumption tu haya tuje kwa science Magnet ni mawe yaliyondulika huko magnesia Malaysia miaka hiyo na yani properties kadhaa ambazo hata ww ukitaka kuthibitisha unaweza
Naona uko nondo haswaa kiongoziBinadamu wa zamani mafuvu yao yamepatikana sehemu nyingi duniani ikiwemo kule France, south Africa,China etc Lakini kati ya mafuvu hayo fuvu la kale kuliko yote yaliyowahi kupatikana ni fuvu la binadamu aliyeitwa zinjanthropus ambalo liligunduliwa na watu wawili wa taaluma ya Archaeology Mary Leakey na mumewe Louis Leakey kule Olduvai Gorge Mkoani Arusha.
Watu wa sayansi kote duniani wamekubali kuwa hilo ndilo fuvu la kale kuliko yote hapa Duniani.Hivyo wamehitimisha kuwa ndilo fuvu la binadamu wa kwanza kwani hakuna mabaki ya binadamu mengine yaliyowahi kupatikana ya kale kuliko hayo.
katika kupata fuvu hilo wanasayans wa Archaeology(tawi la history linaloshughulika na usomaji wa mabaki ya kale) walitumia hatua zote za kisayansi hata kutoa hitimisho hilo;kuwa hilo ndilo fuvu au mabaki ya kale kuliko yote ya binadamu wa kwanza.