Edger ngassa JF-Expert Member Jun 25, 2015 294 239 Dec 21, 2015 #1 msaada jamani natumia simu ya tecno m3 inatatzo la kujiwasha data na wi-fi naomben msaada mwenye utalamu na haya mambo
msaada jamani natumia simu ya tecno m3 inatatzo la kujiwasha data na wi-fi naomben msaada mwenye utalamu na haya mambo
PNC JF-Expert Member Feb 3, 2015 8,106 14,352 Dec 21, 2015 #2 ishakufa hyo hzo m3 ndio zilvo na hlo neno adobe air ndio linakera balaa linavotokea mfululzo na application kujidownload zenyewe
ishakufa hyo hzo m3 ndio zilvo na hlo neno adobe air ndio linakera balaa linavotokea mfululzo na application kujidownload zenyewe
D Davidson lameck New Member Oct 22, 2015 1 0 Dec 21, 2015 #3 dah ata me nshakua nayo inazngua kishenz yan mpaka waiflash
M mtulivuu Member Dec 18, 2015 60 24 Dec 23, 2015 #4 Ingia kwenye running app kisha tafuta wi-fi then iforce kustop