Wadau,
Naomba msaada jinsi ya kurecord incoming call kwenye simu yangu kuna raia ameamua kufungua mazoezi ya matusi najaribu kumuonyesha kuwa mlengwa sio mimi.
Lakini bado anayaporomosha tu nahitaji msaada huo ili niweze kuchukua hatua za kumshitaki japo niwe na ushahidi wa kuanzia
kampuni za simu hawana uwezo wa kuzuia simu yake isingie kwangu.