msaad wana jf

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
samasung galax ace kukuletea ujumbe kuwa low storage memor na wakati nina 8 gb memor msaad wadau kwa wnajua nini tattzo
 
hiyo low storage ni application memory na sio USB storage hivyo punguza baadhi ya apps au tumia adb kuswitch tu external storage
 
Nami Nina lg lakin ina tatizi kama hilo 4gb memory lkn uwezi kustorage kwenye memory wakuu mpaka kwenye apps
 
Back
Top Bottom