App developers wanafaidikaje na ongezeko la smartphone

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
554
Wakuu hodii tenah

>leo nimekuja na sswali tu hivi app ddeveloper wa-tz wanafaidikaje na oongezeko la smartphone nchini?

>je kweli tupo tayari wa tz kuona watu wa tz wanatumia apps zilizo developed out side wakati tz wataalam wapo,

>je app ddevelopers wanajua kua hili ongezeko la smartphone nchini ni furusa kwao kuuza app kwasababu app developers wa tz wanajua aina ya app watz wanazopenda?

Nawakilisha asnteni
 
Back
Top Bottom