Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau habari za jioni, ninaomba kwa yeyote anayemfahamu Fundi Umeme wa Magari Mzuri na Mwaminifu aliyeko Dar aniwekee hapa number yake. Gari yangu ina shida ya umeme baada ya kuipeleka kwa Wachina...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kuna wimbi kubwa la ku hack account za Instagram kwa watu wenye followers wengi. (Hadi celebrities wakti mwingine) je nini husababisha. Na nini kifanyike kuepusha wimbi hili linaloshamiri kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
TANGAZO Katibu mkuu kiongozi, OMBENI SEFUE Kushirikiana na Mamlaka ya mawasiliano TCRA IMETOA TAMKO RASMI Ifikapo Mwezi Juni 2016. Simu zote za mkononi zisizo na uhalali (BANDIA/FAKE)...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Yow Sup Brainers nawezaje Ku-Upgrade from KitKat 4.4.2 Kwenda Lollipop 5.0 au zaidi kwenye hii huawei Y360-U61 niliyonayo,??
0 Reactions
0 Replies
3K Views
......loading Mtoa taarifa.anasema.chanzo.cha.ajali.n.lori bovu.kuwa.njian.na.dereva wa basi wakiwa analikwepa.akahama njia.majeruhi wachache akuna taarifa za kifo so far Usiniulize...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada kuhusu tatizo la huawei 300, kwa muda sasa simu hii nimeshindwa kuitumia maana ina-pop up notifications za "unfortunately, the process com.google.process.gapps has stopped"...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba msaada jamani kwa anaejua, nilimwazima MTU SIMU YANGU akaweka laini yake amenirudishia naweka laini YANGU inaandika enter privacy password namuuliza hata yeye anasema hajui! Naomba msaada.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ambaye anauza ac ya adsense anicheki tafadhali 0755801248
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JamiiForums naombeni hili swala hili, king'amuzi cha continental kutokuwa hewani kunasababishwa na nini? Sasa ni takribani two weeks!
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hi, nitawezaje kupakua videos kwny You tube.thank you
0 Reactions
5 Replies
1K Views
km unataka adsense au kupewa mbinu za kuongeza kipato kupitia online kama ww tayar una adsense 'jinsi ya kuweka ads juu ya makala au post juc contact me me 0675968762 or 0765321403
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu ABS light ikiwaka kwenye dashboard inatoa alert gani au kuna tatizo gani kwenye gari....?
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika cc Chief-Mkwawa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nadhani kuna wenzangu humu mnatumia zile night packs hasa kwa downloading ya vitu vikubwa kutokana na gharama za internet kuwa juu na bundles kuwa ndogo. Katika pita pita zangu humu kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwenye hii simu yangu napata shida kuhusu internet. nikitaka kutumia internet kwa line ya voda inakubali. nikiswitch kwenda halotel airtel inagoma kabisa. simu inatumia line mbili na kuna wakati...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu mteja, Serikali imeagiza kampuni za simu kuzima simu zote ambazo sio halisi ifikapo 16.06.2016. Hakikisha umehakiki kama kama simu yako ni halisi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je nitajuaje simu yangu ya samsung galaxy S6 ni feki or original? cc CHIEF MKWAWA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua kuna watalaamu wengi humu...shida ya simu yangu ni kila nkiwasha data siwezi itumia inaganda tu na inakua yamoto kupita kiasi..tatizo lingine nikiizima nkiwasha inatumia dk 15 mpaka kuwaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa: je, nawezaje kufungua video za youtube bila kuambiwa SERVER PROBLEM au sijui problem in server? Kuhusu ku-convert video ya youtube kuwa mp3, kuna app inahusika? Vile vile kwa...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
naomba kueleweshwa je nawezaje kufungua video za youtube bila kuambiwa SERVER PROBLEM au sijui problem in server? kuhusu ku-convert videeo ya youtube kuwa mp3 kuna app inahusika? vile vile kwa...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Back
Top Bottom