Police radar (police detector)

Police radar (police detector)

Catherini

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
390
Reaction score
154
Wadau salaam,
Nimekuwa natafuta app ya android (police radar/detector) lakini kila ninayopata haina nchi zetu.
Kuna device nimewahi kuitumia kiitumia kipindi fulani ilikuwa kwenye gari ya "wahisani" ni nzuri sana, inatambua uwepo wa polisi miles away.
Msaada kwa anaeifahamu app inayo-suit bongo.
 
Developer wetu bado hawaja code platform suitable kwa nchi challenges ni nyjngi pia ikiwano inshu ya mawasiliano mana hio app itakupa muongozo only if hao police wana vifaa vya mawasiliano but kama hawana ni impossible
 
Back
Top Bottom