Z zamgy New Member Nov 1, 2015 3 0 Dec 22, 2015 #1 Habari zenu ,kuna mtu ame hack account yangu ya instagram. Naombeni msaada wenu jinsi ya kumkamata
Squidward JF-Expert Member Jul 21, 2014 7,548 9,038 Dec 22, 2015 #4 hahahah majibu ya mafundi humu wameuaaa