Geocoder ipi nyingine bora zaidi ya Google

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,704
2,000
Natanguliza shukrani.
Nimekua nikitumia Geocoder API ya Google bila matatizo, lakini leo hii imeanza kununa na kugoma kunipa data. Kawaida kwa kutumia PHP function file_get_contents kwenye link kama hii
http://maps.googleapis.com/maps/api/geocode/json?latlng=$lat,$long&sensor=false
Inarudisha JSON string ambayo una-decode na json_decode na kupata taarifa zote. Sasa leo imegoma ghafla.

Nafahamu kuna API providers wengine wengi tu zaidi ya Google lakini sijajaribu yoyote, hivyo nauliza humu kama kuna yeyote kati yenu amefanikiwa kutumia nyingine ili nisipoteze muda kuzitest zote. Ikishindikana itabidi nitumie hii tool Geocoder - The almost missing Geocoder PHP library! ambayo inarahisisha kuzipitia.
 

VILLAIN

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
426
250
Mkuu kama utakuwa hujapata nikumbushe jumatatu nikupe API providers ambao tunatumia kufanya Reverse geocoder kwenye fleet tracking, mwanzoni tulikuwa tunatumia API ya google ila kwa sasa wanatoa 2500 geocoder per day baada ya hizo kuisha unatakiwa kulipia.
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,704
2,000
Mkuu kama utakuwa hujapata nikumbushe jumatatu nikupe API providers ambao tunatumia kufanya Reverse geocoder kwenye fleet tracking, mwanzoni tulikuwa tunatumia API ya google ila kwa sasa wanatoa 2500 geocoder per day baada ya hizo kuisha unatakiwa kulipia.
Asante sana, sikujua inalipwa na hata hawakunifahamisha, walikata tu ghafla.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom