Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Screenshot za video calling kwenye WhatsApp zimeleak, huduma hiyo inategemewa kuanza kuonekana mwanzoni wa 2016. http://blogs-images.forbes.com/gordonkelly/files/2015/12/whatsapp-video.jpg
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Njia iliyo zoeleka ni kwa kutumia flash disk ... Njia hii often ni nzuri ila kama mwanachuo mwenzako ana virus kwa PC yake inaweza kuwa Shida ... Na saa Nyengine ni ki file kidogo cha microsoft...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu je inawezekana kurate windows 8.1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu je inawezekana kurate windows 8.1
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Habari wadau, Mimi nimezoea Quartz Crystal oscillator kama Radio Frequency Generation natumia method hii kuzalisha frequency Naweka Coil na Antenna pia either mike au Male jack port kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwa kunambia imekufa tayari!!upande wa network Hakuna mtaalam anayeweza kuzi-install baseband na imei...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu jinsi ya kuview source code za pragram yoyote kwa codeguru
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Zenu!!.. Naombeni niulize hapa bongo naweza kupata hii laptop MSI GS60 Ghost Pro. Pamoja na Price ya hiyo laptop Natanguliza Shukrani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni ujumbe unaotokea kwenye simu yangu kila napojaribu kufungua app ya camera, ni simu aina ya blackberry Q5. Wakati wote nimekuwa nikitumia line ya voda, kabla tatizo hili halijaanza siku 2...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, External yangu ya Toshiba (500GB) ilikuwa inafunction vizuri tu kama kawaida, leo baada ya kuichomoa na kuiweka kwenye Port ikawa haisomi hadi saivi, nimegoogle nikaambulia ujumbe wa ku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina laptop windows 8 lkn Microsoft Word inafunguka kwa tabu Sana kuliko proram zingne Nn cha kufanya?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi tena jukwaani Kwanza nishukuru jukwaa kwa kunipa mshauri wa kutosha kuhusu programming language gani nianze nayo kujifunza. Hii leo naomba kuuliza je kuna applications yoyote ya Photoshop...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je kunamtu anayejua maujanja ya jinsi ya kufix bluetooth kwenye HP laptops...Coz hp yangu ina bluetooth but nkiwa na search for other bluetooth devices sion kitu
0 Reactions
3 Replies
919 Views
Seo
habari, naomba kuuliza mtu mwenye kujua hii program ya SEO, nina website yangu nataka niingize huko ili iweze someka na watu zaidi, ni ya biashara lakini, naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamaani msaada computer yangu ni desktop imexika ghafla nimejalibu kuangalia nimeshndwa ambae anaujux anisaidie
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi naomba msaada wa hiyo huduma asante
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Naombeni msaada,mimi nina king'amzi cha continental na tv ya rising flat screen pamoja na ya kichogo. Bahati mbaya tv ya rising haitoi sauti nikiunganisha tena hata nikiweka flash bado shida ni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nina Samsung Galaxy S2 ambayo kuna wakati nikipiga simu au kupokea simu nakuwa sisikii chochote na wala niliyempigia au kunipigia hasikii chochote toka kwangu. Tatizo hili huchukua baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jinsi yakutmia whatsup kwenye pc bila kutmia bluestack asanten.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada nifanyeje my samsung tv inch 46 led haioneshi picha ila sauti inasikika, tatizo laweza kuwa nn? Ni display au nikununua kioo kipya
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom