tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,128
Wadau,
Naomba mbinu mnazotumia ili picha ienee kwenye profile ya whatsapp!
Naomba mbinu mnazotumia ili picha ienee kwenye profile ya whatsapp!
Duuuh too misaada ya huku sasa.. hadi so as whatsapp
Mkuu kama unajua si useme..mimi jimeshi dwa ndiyo maana nikaandika hapa!!
Mkuu inatakuwa network ipo low