Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Niaje wadau nimepata iPad Air 2 ningependa ku install whatsapp messenger kwa anayejua anisaidie mawazo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nimebadilisha startimes na kununua zuku ambao wamenipa offer ya mwezi mmoja ya kifurushi cha classic package ila mimi nataka nijiunge/ninunue kifurushi cha premium, naomba mwenye ujuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajf. Naomba kujuzwa kama kuna mtu aliyewahi kutumia iyo app ya tz,je inafanya kazi kweli au ni matapeli kama softbox tanzania inapatikana kwenye link hii apa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau huduma ya T.Z.S 1,500 Na Kupata 15GB imerudi kama kawaida huduma hii inatumika kuanzia saa 5 Usiku hadi saa 11 Alfajiri ni bila kikomo cha speed enjoy Guys.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kupost matokeo ya Wanafunzi kama inavyoonekana hapo chini katika jedwali, stream ,sid ,student name nimevyitoa katika registration table. ambapo natakiwa niwajazie matokeo kisha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habari za j2, Nahitaji kuwa na uwezo Wa kuona chanel tofauti tofauti kwa TV ya chumba kimoja na chumba kingine. Yaani, kinga'amuzi kiwe kimoja, lakini kiunganishwe na TV 2 za vyumba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar ya muda huu wnajamviin wenzang kama apoo juu kichwa cha habar kinavyojileza nilihtaji kujua ni jins gan unaweza ku hack passoword ya wifi iliyo secured:spy: . ahsanteen nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tatzo ninin wakuu haka ka techno ya batan nikiingia inaandka hvo wakati kuna memory ya 4gb na inafanya kazi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
samahani wakuu wa hili jukwaa. nashindwa kudownload nyimbo na videos kwenye whatsapp. kila ikianza kudownload inazungusha kile kimduara mpaka mwisho halafu hamna chochote imedownload. tipeane...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina simu yangu tecno boom J5 tangu nmenunua mpaka sasa sjawahi kuona mtandao wa internet ukisoma H+ Unaishia 3G tu sasa sjui tatzo nini Nmeshawahi kuuliza kwa watu wanaotumi aina hi ya simu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Gari aina ya allion juzi ilikuwa poa ila jana nimelipeleka car wash wakaliosha hadi engine na nikalifanyia service ambapo walibadili engine oil, oil filter na air filter. Kisha nikaenda kituo cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nina tach ya kichina,mara ya kwanza kuiconnect watsap ilikuwa inasapot kuona picha lakn sasahv n msg 2 msaada pls
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji acount ya AdSense as soon as possible ,kama unayo Nipigie sasa 0687 535650
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Kama upo tayari kufanya kazi ya kushare links zangu za blog kwenye groups za facebook nicheki.... Ac za facebook na magroup vyote nakupa ni wewe tu kupiga kazi na pageviews 1000 nakupa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, External yangu ya Toshiba (500GB) ilikuwa inafunction vizuri tu kama kawaida, leo baada ya kuichomoa na kuiweka kwenye Port ikawa haisomi hadi saivi, nimegoogle nikaambulia ujumbe wa ku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila shaka wengi wenu ni wataala wa IT humu ndani Mimi napenda kuomba msaada kwa anaejua best website inayotoa templates nzuri kwa ajili ya blogs. Aidha iwe free au ya kununua,ila ya bei nafuu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Je unahitaji account ya google adsense kwa bei nafuu ???!! Ondoa shaka, nitumie PM ntakupa mpango mzima KAribu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF . Ni juzi tu nilitoka kuomba msaada wenu kuhusu external hard disk nashukuru kwa msaada wenu niliweza kutatua tatizo hilo sasa tatizo linakuja kwenye ku recovery data...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu baada ya microsoft kuachana na uhafidhina wa kutotaka kuachangamana na OS zingine uhafidhina huo umefika mwisho baada ya kuiachia app ya Cortana kwa ajili ya android devices kitkat...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajuzi wa mamba natumaini ni wazima, nilikuwa nahitaji kufahamu kama Kuna uwezekano wa kuifufua simu y tecno m3 ambayo ilikuwa inabadilishwa ROM so tulivyo maliza yenyewe ikagoma kuwaka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom