Wataalam wa umeme na wenye ufaham juu ya umeme kuna kitu kinaniumiza kichwa kidogo ningeomba mtegeu kitendawi hicho ndani ya kichwa changu.
Je haiwezekan nikatumia umeme kwa kuunganisha waya wa LIVE na waya wa EARTH ili utumike kama NEUTRAL??
Kama haiwezekan ni kwanin haiwezekan wakati ukigusisha waya wa live na earth kunakuwa na short??
Nawasilisha kwenu wataalam??