Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

samahani wakuu wa hili jukwaa. nashindwa kudownload nyimbo na videos kwenye whatsapp. kila ikianza kudownload inazungusha kile kimduara mpaka mwisho halafu hamna chochote imedownload. tupeane...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wana jamvi, naombeni msaada wa kutoa hii error (retriving information from server) maana nashindwa kundownload application yoyote kwenye google play store, asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
samasung galax ace kukuletea ujumbe kuwa low storage memor na wakati nina 8 gb memor msaad wadau kwa wnajua nini tattzo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani Naombeni Msaada wenu wa Ushauri katika Kununua Subwoofer hii ya Aborder.. Nimeziona Hapa Town Wanaziuza Nyingi tu Katika Maduka... Budget yangu ni 100k. Je Zina. ubora.. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakuu salama nyote ? mm ni fundi umeme wa magari baada ya kukaa nakufikilia nimehisi kuwa control ya air bag/SRS yaweza kuwa sawa na black box kwenye ndege kwa kuwa ndege ikipata ajari huwa...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari wadau, Naleta ombi langu kwa unyenyekevu mkubwa nikitambua kuwa humu ndani kuna wajuzi wa mambo kwa kina cha kutosha. Naomba kufahamishwa kama kuna njia ya kuunganisha blog iwe inapost...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu humu ndani Naomba kuuliza google adsense zinaweza kutumika kwenye subdomain km blogspot nk Na je unatumia njia gan kuiweha Mi natumia blogspot,lakn adsense inagoma Msada wakuu
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Wakuu naomba msaada wenu, hii mashine imenisumbua vibaya sana haikubali keyboard wala mouse, ina ports nane(8) za USB lakini hakuna hata moja inayokubali kufanya kazi, mbaya zaidi haina mfumo wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna kitu kinaitwa google adsense(not sure with the spelling) kama kuna mtu mwenye uelewa nacho naomba anielezee ni namna gani unaweza pata pesa kupitia hiyo kitu. Swali langu la pili ni namna...
0 Reactions
38 Replies
17K Views
Tanzania tukishikamana tunaweza kuzalisha malighafi toka ktk viwanda vyetu vilivyokufa
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Wadau naomba mpige screenshots za apps zenu ili tuweze kushare application mbalimbali nzuri, apps zangu hizi hapa👇👇👇👇 Unaweza uliza ili upewe ufafanuzi wa app...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jamii mi nahitaji used photocpy machine iliyo nzuri na bora bei isizid laki tano,anayejua anifahamishe kupitia humu asanten
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuwauliza mliowahi kutumia Window phone na Android. Mnisaidie ni Aina gani nzuri kuendelea kuitumia bila kuichoka?
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Jamani naomba msaada wa kufahamu no apk gani inayotumika kupima kiwango cha umeme kinachoingia kwenye simu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yoyote alishawahi ku unlock hyo model ya huawei au anayejua ina simlock conuter 0. I will appreciate ur help guy's
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa ninahitaji msaada kwa ajili ya kusetup ZyXEL router kupitia zantel CDMA internet modem PIN CODE... APN CODE... Dial Number... Username... Password...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari nilikuwa nahitaji kununua flat screen TV aina ya Samsung led inch 32 za kutokeaVietnam sasa nilikuwa nahitaji kujua je TV hizi zina king'amuzi cha ndani maana niliwahi ona humu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ninatumia simu aina ya huawei y600 imeanza kuwa na tatizo lakuwa nikifungua program yoyote inapotea bila kufunguka pia inaniandikia kwamba suddenly ui stopped nifanyeje jaman
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau ninaomba kuuliza kuna madhara gani kama Nita unistall,backup tool,setting helper na security certificate
0 Reactions
0 Replies
894 Views
nahitaji jman imepasuka,mwenye nayo anipe bei...............
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Back
Top Bottom