ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Samahani waungwana nimekuwa nikitumia smartphone za kampuni ya tecno .sasa nataka nihame kwenye aina nyingine ya sumu.
Napenda simu screen size iwe 5.5",iwe unachukua laini mbili,iwe na kamera nzuri kabisa.
Ram iwe kuanzia 2gb,internal storage ianzie 16gb.
Je simu gani itafaa yenye kuchukua lain mbili