Rabbi Faz Chover
Member
- Dec 25, 2013
- 59
- 2
Kwa muda wa wiki tatu sasa nimekuwa nikapata notifications za kufanya updates ya software za simu yangu tajwa hapo juu..
Pamoja na kuwa katika eneo ambalo internet ipo vizuri,kila nikifanya updates zinapofika wakati wa kufanya installation zinakataa then inaandika "error..." ikiwa na namba ambazo sielewi maana yake..
Tafadhali sana,mwenye kujua jinsi ya kufanya basi anisaidie kiroho safi..
Natanguliza shukrani..