Hama tigo
Unatumia simu aina gani mkuu
Amefunguaje whatsapp bila kuwa na internet? Mimi naona ni hiyo tigo 4G ndio tatizo!Nadhan n tatizo la settings ingia setting -Access point names-halaf change names na APN zake kutokana na mtandao unaotumia zfanane.....au piga 100 wakutumie configurations setting
natumia halotel simu ni itel. yaani inaniboa sana inaonyesha kana kwamba inadownload ikifika mwisho hamna lolote
Hapana bwn mimi natumia halotel na nipo kama mita 35 toka hapo kwako mambo yanakwenda swaaafi,