Natumia Application ya JF kwenye Samsung Galaxy J7. Lakini Nikiingia Kwenye Timeline.. subscribed.. na Participated Thread za Hizo Sections Haziload na Zinachukua Muda Sana.
Ila Nikiingia Kwenye...
Habarini
Kuna simu nililikuwa natumia katika bonyeza bonyeza sikujua wapi nimefika lakini niliona tuu kuwa picha zangu zitakuwa zinahifadhiwa kwenye email yangu ambayo inatumika katika simu yangu...
TORONTO (Reuters) - BlackBerry Ltd is cutting 200 jobs at its hometown headquarters in Ontario and in Florida in order to trim costs, it said on Friday, as the smartphone maker moves to turn...
If you break your home button and you need to replace it, you’ll want to go to an official Apple Store or an authorized repair shop to avoid the error 53. If a third-party repair shop replaces...
Kuna baadhi ya Games zimekuwa ngumu kuendelea, kwenda Stage Ingine ,,, kwa sababu ndani ya game kuna baadhi ya vitu vina hitaji ww ununue... Kama coins e.t.c
Mfano: Highclimb racing...
Wanajamii habarini za mida hii.
Mi naomba nipiwe elimu kidogo kuhusu hili, maana huwa sielewi inakuwaje.
Hivi hizi website na blogs, mmiliki wa blog au website husika anapo post picha au habari...
Habari wana JF.
Naomba msaada wenu, hivi ni app gani au njia gani kwenye simu zetu za android inaweza kulock au kujua simu ipo sehemu gani kama imeibiwa.
Msaada wadau simu yangu ilijilock kwa pattern sasa wakati nafungua nikakosea ikajifunga na ac ya gmail nikawa nimeisahau nikaamua kutumia app ya research download na pac file ya itel it1353 sasa...
wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu...
Habarini ndugu wana Chama cha JF.
kama kichwa cha Habari kinavyosema ni App ipi ya kuongeza internal memory kwa smartest phone?
#Nawasilisha kwenu.
Ahsanteni!!
natumia simu ya Samsung note 2 32gb.ila wiki sasa imepita.simu haifungui google store. hata browsers nyingine.isipokuwa opera mini.na samsung store. nimeangalia tatizo sijalipata.mwenye ufahamu...
Habari wandugu !
Naomba kujua namna ya kublock simu iliyoibiwa isiwez kutumiwa kabisa na aliyeiba au kuuziwa. Nimejaribu kuuliza mitandao yetu ya simu hawawez kufanya hicho kitu.
Nimeshindwa...
Habari zenu wana jamii naomba msaada wenu account yangu ya google imefungiwa kwa sababu ya kuingiza
kwenye simu simu mbili tofauti kila nikijaribu ku sign ina nambia
Account has been disabled...
Kwa wale wenye ujuzi na wataalamu wa external hard drives. Nina external aina ya Transcend 1TB inanisumbua kila nikichomeka kwenye laptop kuna dialogue box inatokea naambiwa inabidi niformat...
Hili jambo limekuwa limikwaza maana jana nimenunu kifurushi nikajiunga na 2GB airtel lengo ni kumalizia kudownload series flan. nimeamka asubuh nakuta imebaki 156MB na kwenye ile series zimetumika...
Kwa yeyote anayefahamu mahali panapouzwa Arduino board, Rasberry Pi, PIC au intel 8051 series naomba ani pm au kama unakimoja wapo nipm namba yako tuongee Dili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.