Angalia live epl ndani ya azamtv tv kupitia crtv iko kwenye other channels

Binafs huwa natazama game kila jmos kupitia channel hii ya crtv mida ya saa kumi na moja kama robo hivi.

Mkuu max mi naomba unipe freq za kuongeza kwenye azam ambazo ni fta
 
Hiyo game ilikuwa free. Ndo zile zinachaguliwa in a week (round) kuonyeshwa bure. Hata ATN ndo wanazionyeshaga.
 
Check kwenye lyngsat.com utaniona hapo. Kila weekend kuna game ya epl saa kumi na mbili jioni au kumi na moja inategemea na ratiba ya epl.
 
Ila kwenye dish la azam iko kwenye other channels utaiona huhitaji Kuweka frequency ipo walishaziweka wenyewe
 
Kesho Serie A itaendelea kurindima kesho ndani ya Rai Italia channel namba 680 ya azamtv, hii channel inapatikana kwenye vifurushi vikuu vyote vya azamtv yaani azam Pure, Plus na Play.

Jumamosi 9/1/2016

Carpi v Udinese
Saa 11:00 Jioni

Fiorentina v Lazio
Saa 2:00 Usiku

Roma v Milan
Saa 4:45 Usiku

Jumapili 10/1/2016

Inter v Sassuolo
Saa 8:30 Mchana

Frosinone v Napoli
Saa 11:00 Jioni

Sampdoria v Juventus
4:45 Usiku
 
Kuna mpira live kati ya inter Milan na Atlanta kwenye rai Italia channel number 680 na Manchester city versus crystal Palace kwenye crtv iko kwenye other channels ndo wanakalibia kuanza
 
Poa mkuu huwa kuna league ya Italia kwenye rai Italia pia, na league one ya ufaransa fox sport pia​
 
Ziko by default kwenye azam tv bonyeza remote katikati then ubonyeze mahale wa kwenda kulia utaona radio na other channels then tafuta crtv
 
Ziko by default kwenye azam tv bonyeza remote katikati then ubonyeze mahale wa kwenda kulia utaona radio na other channels then tafuta crtv
msaada ndugu yangu nimezipata ila shughuli imekua kwenye kurudi kuzipata Chanel ndo Majanga sasa nafanyaje ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom