atrash
Member
- May 1, 2011
- 75
- 12
Habari zenu wana jamii naomba msaada wenu account yangu ya google imefungiwa kwa sababu ya kuingiza
kwenye simu simu mbili tofauti kila nikijaribu ku sign ina nambia
Account has been disabled
na nimejaribu kujaza form yao kama inavyo eleza hapo juu nimewatumia hawajibu chochote
nimetuma kama marakumi hawajibu chochote nna wiki moja sasa bila mafanikio na kuna picha zangu na namba
zangu muhimu ktk account yangu
je kuna yoyote ambaye alisha kutana na tatizo kama hili na akafanikiwa ku recover email yake?
naomba msaada na muongozo kwa hili