ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,219
Kwa wale wenye ujuzi na wataalamu wa external hard drives. Nina external aina ya Transcend 1TB inanisumbua kila nikichomeka kwenye laptop kuna dialogue box inatokea naambiwa inabidi niformat external ninashindwa kutekeleza kutokana uwingi wa vitu nilivyotunza ina data zaidi 600GB , naombeni mnasidie jinsi ya kuamisha data zisipotee, vile vile kuna uwezakano wa kuformat external na data zangu zikarudi au kama kuna BACKUP yeyote naombeni mnisaidie. Ninatanguliza shukrani