MSAADA PLZ!!!

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
Habari wana JF.
Naomba msaada wenu, hivi ni app gani au njia gani kwenye simu zetu za android inaweza kulock au kujua simu ipo sehemu gani kama imeibiwa.
 
Tumia android device maneger
e832ab0b09f643bb95936e5f5f5e9fae.jpg
 
Back
Top Bottom