Je hii ni kwangu tu au?

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,431
Natumia Application ya JF kwenye Samsung Galaxy J7. Lakini Nikiingia Kwenye Timeline.. subscribed.. na Participated Thread za Hizo Sections Haziload na Zinachukua Muda Sana.

Ila Nikiingia Kwenye subforums Thread Zote Zinaload Vizuri.. sasa sijui Hii inawatokea Na Wengine
 
Back
Top Bottom