ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini
Kuna simu nililikuwa natumia katika bonyeza bonyeza sikujua wapi nimefika lakini niliona tuu kuwa picha zangu zitakuwa zinahifadhiwa kwenye email yangu ambayo inatumika katika simu yangu na nikawa nikatwa MB kila picha zikijiweka kwenye email maana zilikuwa zinajiweka automatically kwa kila picha nitakayo kuwa naweka kwenye Simu yangu
Naombeni msaada jinsi ya kupata hizo picha maana nimebadiri Simu na hizo picha nahitaji na Email ninayo