Andoid GamesTricking & Hacking

Kaputupu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,486
1,171
Kuna baadhi ya Games zimekuwa ngumu kuendelea, kwenda Stage Ingine ,,, kwa sababu ndani ya game kuna baadhi ya vitu vina hitaji ww ununue... Kama coins e.t.c

Mfano: Highclimb racing hili game linahitaji fedha ili uweze nunua baadhi ya magari, fuel kwenye magari n.k..

Mfano mwingine ni hili game la Frontline Commando D Day... Linahitaji fedha ili uweze nunua baadhi ya silahi na vitu vingine ili kukamilisha level zako vizuri...

Leo naomba nliongele hili game la Criminal Case... Ni game fulani zuri ambalo unakuwa una solve case za mauaji... (kwa wanaolijua/ au wanao cheza watakuwa wanajua nn nazungumzia..
Kikwazo kikubwa katika hili Game ni Energy.. Energy ndo inafanya ww uingie kwenye crime scene na kuendelea kusolve case yako.. Lakini pale energy inapo isha... That's mean unatakiwa ununue au usubiri baada ya muda fulani kupewa energy na kuendelea kusolve hiyo case..

Leo ntawapa hii trick.. Ni jinsi ya kupata energy bila kusubiri huo muda wanaotaka ww usubiri.. Ili upate energy then uendelee kusolve hiyo case..
(ukicheza then energy yako ikiisha,,, nenda kwenye setting ya simu yako... Kwenye setting ya tarehe na muda.. . Halafu kama leo ni tarehe sita ww weka saba.. Yaani badilisha tarehe... Ukirudi kwenye game ya criminal case utakuta energy full.. Then unaendelea kusolve case zako tuu)

Tutaendelea kupeana updates za Games zingine....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-06-20-22-22.png
    Screenshot_2016-02-06-20-22-22.png
    366.7 KB · Views: 79
Back
Top Bottom