MUHIMU: Kwa anayefahamu duka/maduka ya embedded Hardware

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
3,613
5,514
Kwa yeyote anayefahamu mahali panapouzwa Arduino board, Rasberry Pi, PIC au intel 8051 series naomba ani pm au kama unakimoja wapo nipm namba yako tuongee Dili.
 
Ninayo Atmel AT89C51 ila ipo mbeya, kama upo dar kuna duka moja lipo kariakoo wanauza vifaa vya electronics na vingi ni kwa ajili ya projects. ila jina la hilo duka nimelisahau.
2223.JPG

Hiyo sehemu nimezungushia na red lipo maeneo hayo wanazo hizo Microcontrollers unazohitaji sana sana PIC na Atmega.
 
View attachment 321379

Hiyo sehemu nimezungushia na red lipo maeneo hayo wanazo hizo Microcontrollers unazohitaji sana sana PIC na Atmega.
Ashaanteee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom