Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,819
- 24,591
Hili jambo limekuwa limikwaza maana jana nimenunu kifurushi nikajiunga na 2GB airtel lengo ni kumalizia kudownload series flan. nimeamka asubuh nakuta imebaki 156MB na kwenye ile series zimetumika MB 300 tu. hivyo kuna kama 1.6 GB hazijulikani zimeenda wapi .
nimeangalia kwenye statistics nikakuta kwenye upande wa Upload Data zimetumika hizo 1.something GB na download ndo zikaoneshwa hapo kidogo.
swali je inawezekana kuna kuwa na background matumizi ambayo siijayafaham au tunaposhare seeds ina athiri bundle zetu na nini kifanyike ili kuzuia bundle isiwe inaisha mapema hivi?