BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Habari zenu wanajamvi, naomba msaada wenu...
Nina tatizo linalohusu simu....inawezekana kweli ukatumiwa msg anaekutumia kwenye simu yake inaonesha delivered lakin Mimi nlietumiwa sizipati hizo msg. Nimejarib kupiga customer care Vodacom wananiambia kua sim yang ina msg nyingi nkawaambia hamna kitu kama hicho sina SMS nying
Wakaniambia tatizo litakua kwa anaenitumia...nimejarb kuongea nae anasema simu anayotumia ni Mpya na still msg zote anazotuma kwangu zinaonesha zinapokelewa. Anaetuma msg yuko mkoa wa kigoma mpakani..na Mimi Niko dar. Watalaam mnaofaham naombenmsaada ktk hili. Asanteni.