UNICEF is inviting technology start-ups developing solutions with the potential to improve the lives of the world’s most vulnerable children to apply for funding from its recently launched...
Naelewa computer ina record websites mbalimbali ulizotembelea. Naomba msaada jinsi ya kufuta na mtu mwingine ashindwe kuona hiyo rekodi ya websites nilizotembelea.
Msaada tafadhali
I'm curious to find out how major business institutions, corporations, as well as government entities implement patch management procedures, operating system deployment (OSD), applications...
Habarini wana jukwaa poleni na majukumu tafadhali naomba kujua bei ya kioo cha simu aina ya HTC desire 816 Kwa dar mimi nipo morogoro nimetafuta bila mafanikio asanteni sana.
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka...
iPad mini (Wi-Fi/VZ & Sprint/GPS - 1st Gen) 1.0 GHz* Apple A5
Intro. October 23, 2012* Disc. June 19, 2015**
Order MD540LL/A* Model A1455 (EMC 2609*)
Family iPad mini (Wi-Fi + Cellular MM) ID...
Wadau naomba mnisaidie....nikiwasha pc yangu napata ujumbe kwmba window is not genuine...na kila mara napokea notification hiyo....nisaidien wakuu ili kutatua tatizo hili.
Natanguliza shukran zangu
Wakuu nina tatzo na simu yangu huwa inadownload apps za apus kila nikifungua phone browser tatizo hili linapelekea simu yangu kuisha kifurush cha intanet mara kwa mara msaada wakuu tafadhari
Samsung player model HT-E6750w/xy imetoa msg ya protect mode baada ya kuwaka kisha ikazima. Nimechat na Samsung kwa kuwapa serial number naona ni story tu. Pls mwenye uelewa wa hii maneno
Kuna simu aina ya Huwawei 360 nimefanya reset, contacts zangu zilizokuwa kwenye simu
zimefutika.
Naweza vipi ku_restore namba zilizofutika?
Cc CHIEF MKWAWA Mwalimu rct
A concealed motor has been discovered during
the examination of a bike used by a Belgian
cyclist at the world cyclo-cross championships.
The bike was seized by cycling authorities after
Femke Van...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.