Msaada kwenye itel inote it1353

Msaada kwenye itel inote it1353

Srebrina

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
968
Reaction score
439
Msaada wadau simu yangu ilijilock kwa pattern sasa wakati nafungua nikakosea ikajifunga na ac ya gmail nikawa nimeisahau nikaamua kutumia app ya research download na pac file ya itel it1353 sasa wakati ipo kwenye process ya ku install iyo pac file ghafla ika fail sasa simu haidetect kwenye pc wala haiwaki hata kushtua na nikiweka chaji hakuna dalili yoyote kama inapeleka maana screen iko kimya, naombeni msaada wenu wakuu
 
Ngoja wajuaji waje natumaini utasaidiwa,kuwa mvumilivu kidogoo
 
inaweza kupona ila hata ukiwrite nvram huwa inafail ila jaribu hii ukitaka idetect connect usb kisha shikilia volume down na uweke battery itakubali wakati huo research download iwe open then umestart inawait for USB ikigoma ntakupa box itakusaidia ila weka kwanza file za FDL1 na FDL2 then nvram ikifail skip then system skip na modem na userdata vingine vyote weka tick
 
thank u bro ngoja nifanye hio kazi ntaleta majibu
 
inaweza kupona ila hata ukiwrite nvram huwa inafail ila jaribu hii ukitaka idetect connect usb kisha shikilia volume down na uweke battery itakubali wakati huo research download iwe open then umestart inawait for USB ikigoma ntakupa box itakusaidia ila weka kwanza file za FDL1 na FDL2 then nvram ikifail skip then system skip na modem na userdata vingine vyote weka tick

Asante bro phone imepona nashukuru sana maana nilijua imekufa
 
inaweza kupona ila hata ukiwrite nvram huwa inafail ila jaribu hii ukitaka idetect connect usb kisha shikilia volume down na uweke battery itakubali wakati huo research download iwe open then umestart inawait for USB ikigoma ntakupa box itakusaidia ila weka kwanza file za FDL1 na FDL2 then nvram ikifail skip then system skip na modem na userdata vingine vyote weka tick
we jamaa noma sana Mungu akuzidishie moyo wa kujituma kujua na kutoa kiroho safi nakupenda sana bro una roho za kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom