KUTENGENEZA PESA KUPITIA MTANDAO(INTERNATE)

niraza

Member
Jan 16, 2016
10
4
Wanajamii habarini za mida hii.
Mi naomba nipiwe elimu kidogo kuhusu hili, maana huwa sielewi inakuwaje.

Hivi hizi website na blogs, mmiliki wa blog au website husika anapo post picha au habari yoyote, je ananifaikaje?
Nikiwa na maana anawezaje kupata pesa kupitia hiyo habari alio post mfano huyu kakaetu millard?

Msaada pls kwa mwenye idea na haya mambo
bbe02839d42ce564ad8229ea23aeae33.jpg
 
Faida yake Ni wewe unayesoma zile habari. Wafanya biashara wakijua blog ina wasomaji wengi ni rahisi kwa wao kuja kuweka matangazo yao hapo ndipo unapo ingiza hela wewe kama mmiliki wa blog. Nyingine ni Google adsense hii ndiyo inawaingizia wengi hela, Hii ni huduma ya kuuza matangazo toka Google.
 
Back
Top Bottom