Ni App gani ya kuongeza INTERNAL MEMORY kwa Smartphone?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Habarini ndugu wana Chama cha JF.
kama kichwa cha Habari kinavyosema ni App ipi ya kuongeza internal memory kwa smartest phone?
#Nawasilisha kwenu.
Ahsanteni!!
 
ukisema internal memory ni kama unasema ukubwa wa shamba au ukubwa au ukubwa wa nyumba. haiwezekani ukaongeza internal memory kwa app
Nilikuwa nakutabikia sana CHIEF MKWAWA sababu nimezisoma sana post zako na nimevutiwa na post zako.
Nifanyaje ili niweze kutengeza website yangu kama ya @Jamiiforum?
 
Back
Top Bottom